Kwi! Kweli huyu mmatumbi anachekesha. Si alikuwa 'Atheist' (Asiye Muumini) huyu mmatumbi, tena baada ya kuukana ukatoliki (kristo) uliomkuza na hata kuamua kubadili na jina juu dezaini staili ya Mabutu Seseko aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC). Leo kilichombadilisha ni kipi? Hebu tujuzeni zaidi? Au Uzee ameona anaanza kuelekea kule ambako watu wakienda hawarudi🙂 teh teh
Kwa hiyo angebaki na huo Ukatoliki ndio angekuwa salama?
Mkuu naona ume miss point yangu na swali lako lina utata.
Nimeutaja ukatoliki/Ukristo) kama dhehebu (au dini) tu aliyekulia nayo. Na ikafika mahali akakoma kuwa Muumin Mungu/ wa dini yeyote (atheist). Hivyo hapa tunajadili suala la Kingunge kuwa 'kuamini Mungu' kama mleta maada alivyolileta. Linalojadiliwa ni 'Uumini Mungu' wa Kingunge na sio dhehebu wala dini yake mpya wala ya zamani kama anayo.
Huo usalama unaouzungumzia wewe ambao angebakia ndani ya ukatoliki ni usalama wa aina gani huo?