Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Baada ya kula hela ndio anasema kapotoshwa? Huyu mzee ni mnafiki sana.
Akome kwa kutumia mapengo kufikiri.
Chanzo panya road wewe au bia za mkopo zinakuzingua
Yule mzee unajuwa Akili hamna kabisa! Hivi hana vijana wa maana kidogo awape urithi wa uongozi kama ubunge wa Januari?Naona umepata pa kupumulia!
Ni kweli aisee. Wala hawakukosea pale walipompa cheomcha mlezi wa chama cha waganga wa jadiHuyu mzee Ni mchawi aisee
ah haaaaa haaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaAkome kwa kutumia mapengo kufikiri.