Kingunge Ngombale Mwiru: Nilipotoshwa

Kingunge Ngombale Mwiru: Nilipotoshwa

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,408
Reaction score
39,477
Hatimaye mzee Kingunge Ngombale Mwiru kada wa muda mrefu CCM amekiri kuwa hakuwa anafahamu vyema mambo yanayoendelea ndani ya CCM na kukiri wazi kuwa alipotoshwa na mtia nia mmoja wa urais na kundi lake kupitia CCM.

Mzee Kingunge amekiri kusononeshwa na alichokiita kuwa waraka wa makubaliano alioletewa ambao alidhani kuwa umetoka kwa kiongozi mmoja wa juu serikalini ukionyesha kumuunga mkono mtia nia huyo. Aidha mzee Kingunge anasema kuwa baadaye alibaini kuwa amechezewa sarakasi na mtia nia huyo. Mzee Kingunge amedai kuwa kwa sasa atakaa kimya kuhusiana na mambo ya urais ndani ya CCM hadi hapo mgombea wao atakapopatikana.
 
Umeandika kwakutumia akili au masaburi? kweli matahira ni kazi.
 
aaaah aliingizwa mkenge na mafisadi
 
Njaa inamsumbua atwambie Lowasa alimpa Tsh.ngapi?
 
Khe khe kheeeeeeee Chezeya fisadi weye!!!!! Kishakutenda dah!

Hatimaye mzee Kingunge Ngombale Mwiru kada wa muda mrefu CCM amekiri kuwa hakuwa anafahamu vyema mambo yanayoendelea ndani ya CCM na kukiri wazi kuwa alipotoshwa na mtia nia mmoja wa urais na kundi lake kupitia CCM.

Mzee Kingunge amekiri kusononeshwa na alichokiita kuwa waraka wa makubaliano alioletewa ambao alidhani kuwa umetoka kwa kiongozi mmoja wa juu serikalini ukionyesha kumuunga mkono mtia nia huyo. Aidha mzee Kingunge anasema kuwa baadaye alibaini kuwa amechezewa sarakasi na mtia nia huyo. Mzee Kingunge amedai kuwa kwa sasa atakaa kimya kuhusiana na mambo ya urais ndani ya CCM hadi hapo mgombea wao atakapopatikana.
 
Source please....which means ulivyotunga inamgusa na JK
 
Anakwepa aibu tu huyo!

Wanaanza kumkana mchana kweupe!

Kesho utamsikia Kangi Lugola nae akija na sababu zake.

Huu ni ushahidi Lowassa hapiti na niwazi kingunge atakuwa ametonywa na vigogo wa chama.

Anyway,sasa hela ya watu unarudisha au unapotezea tu?
 
Muongo huyo anajitetea baada ya kuona watu wameanza kumnung'unikia
 
alishawakilisha :rais wa 2015 anajulikana kwa sisi tunaojua kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom