Kingunge, Makamba - madhara ya Ubunge wa kupewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kingunge, Makamba - madhara ya Ubunge wa kupewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 25, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Naona kuna umuhimu wakila mbunge kwenda bungeni kwa njia ya kuchaguliwa na wananchi.... haya mambo ya kupeana ubunge madhara yake tumeyaona kwa hawa wazee awawajali kabisa wananchi na mwisho kuona chama ndio uhai wao ndio mungu wao...

  Inasikitisha sana kuona wazee wenye heshima zao kama makamba naongea utumbo tena kwa kuwaita waandishi wa habari....bila kujua madhara yatakayotokea kwa chama.....

  Bila kumpongeza comrade Sitta.... kwa ustaarabu alioonyesha ndani ya mafisadi kwenye mkutano wa NEC.... hakika nasema hawa wazee wangejua mwakani wanaitajika kwenda kwa wananchi kuwaambia walichofanya bungeni wasingekuwa na mawazo finyu kiasi kile.... anyway tunaitaji kuwaombea at least watengeneze njia zao mbofumbofu.....

  Mwisho naona haya matataizo yote yanaletwa na rais wetu kwa kuchagua watu bila kujua IQ zao na umuhimu wa cheo anachompa.... tunatanguliza salamu kwa rais kama umepewa madaraka tunahitaji watu wanaowajali wananchi na sio njaa zao kuzipeleka bungeni na mwisho kuua chama cha majambazi kwa ujumla
   
 2. K

  Kinnega Member

  #2
  Aug 25, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo tusingempata Asha Migiro, Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na mbunge wa kupeteshwa. Na sidhani kama United Nations wangeweza kumuibua kutoka chuo kikuu kuwa msaidizi wa Moon kama asingekuwa waziri.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  MKUU kinega

  Unaweza ukawa unajiuza mtaani yaani(changudoa),na ukajenga ukawa na magari na maisha mazuri...na kuna machangu ambao hawana chochote katika maisha yao....
  Kwa sababu hawa wengine wameweza kujenga kuwa na maisha bora Bassi tuseme UM......A..YA unafaida???BADO WENYE MADILI TUTASEMA UCHANGUDOA SI MAISHA.....
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  nafasi yake ingechukuliwa na mtz mwingine
   
 5. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tatizo sio kupewa ubunge wa kuteuliwa, tatizo ni kwamba wamekwishapitwa na wakati na hawana jipya linaloweza kuwa na manufaa kwa chama wala Taifa. Wangemsaidia sana Jakaya kwa kuamua kung'atuka kama wanavyofanya wazee wengine wenye heshima zao!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio kupewa ubunge wa kuteuliwa, tatizo ni kwamba wamekwishapitwa na wakati na hawana jipya linaloweza kuwa na manufaa kwa chama wala Taifa. Wangemsaidia sana Jakaya kwa kuamua kung'atuka kama wanavyofanya wazee wengine wenye heshima zao!

  MKUU BORA MAISHA

  KUNA WAZEE WENGI TU KULE WENYE BUSARA ZAO NA HESHIMA ZAO
  TATIZO HAWA WAZEE HAWANA CHA KUWAUMIZA KICHWA KABISA...NIMEISOMA NKAONA KWELI KUNA UMUHIMU WA KULIANGALIA UPYA HILI SWALA
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  They are paid their salaries, pensions allowances through our taxes, which could otherwise have been used in our understocked hospitals, poorly funded schools and bad roads.

  the problem is our constitution which has not put a single criteria on who should be nominated an MP, we have to have that in our constitution.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  Nilihisi uzee ni bora kuliko uzembe lakini leo hii nathubutu kusema bora uzembe kuliko uzee jamani...wakati mzee wa miaka 89 kenya akifa akitafuta elimu ya kujiendeleza aweze kusoma biblia takatifuhuku kwetu wazee walioeshimika na jamaii na taifa kwa ujumla wanazeeka viaya sana.....
  Tukianza na KINGUNGE
  HUYU NAKUMBUKA TOKA NIKO LA PILI NAULIZWA WAZIRI WA ....NI....KINGUNGE.N.MWIRU...MPAKA LEO HII ATI BADO NI MBUNGE NA KAMA C KELEL ZA WATANZANIA ANGEENDELEA KUWA WAZIRI MPAKA LEO HII.....HUYU RAIS WETU YUKO SAWA KWELI JAMANI...M NNAWASIWASI NAE...
  HAKIKA MTANIUNGA MONO KWA JINSI ANAVYOZEEKA MZEE WETU NA KUFIKIA KUSEMA BORA UZEMBE KULIKO UZEE....MWINGINE ANAEZEEKA VIBAYA NI

  MH BW YUSSUF MAKAMBA

  Afadhali kidogo ya huyu najua dhiki ndio inayomkimbiza na si chochote kutofautisha na kingunge aliekula toka nyerere...huyu alianza kujulikana baada tu ya kupewa ukuu wa mkoa wa dar es salaam akaanza na chechemwitu na wauzaji wa kariakoo..walipomshinda akaona loh isiwe taabu...kutukanwa na vijana uzeeni sio...huyu bwana na mwenzio hapo juu ndio waliofikia kuandika haya hakika sikuwahi kuhisi ipo siku makamba ataamka na kuwateteta mafisadi...na hii ni baada ya kuangalia ahata kama ni njaa hana mtoto anaeendelea kusoma...sikuwa kujua anamdomo mchafu kiasi hicho...kwanza napenda kumshukuru spika sitta kwa ujasiri wake alioonyesha na zuri zaidi kuweza kuwafichua hawa wazee yiyomo mioyoni mwao...na unafiki wao....
  Nahisi kutamka wamenitia kicehfuchefu kabisa na laiti hawa nyerere angekuwapo hai wanacheza na "SEGADANCE"a.k.a segerea
  c hayayo tu ya NEC wajameni mengi yanakuja ambayo wengine wanawezahisi mwisho wa dunia kumbe dunia ni wewe mwenyewe..baada ya hapo napenda kuwaelimisha hawa wazee CCM C BUNGE LA TANZANIA..BUNGE ni mali ya watanzania...mali ya wananchi......akuna sheria inayoruhusu viongozi wa chama kuingilia uhuru wa bunge ati kisa tu NJAA ZAO ZA MITAANI....SHAME ON U WAZEE WANGU....
  Makamba tafuta njia halalai za kupata pesa achana na mafisadi na hela zao za ngama mwisho utaishia pabaya hata kushindwa kutembea barabarani.....nawatakia kila la kheri chama cha mapinduzi katika michakato yao....

  Nawapongeza wabunge "WAPIGANAJI""mwakyembe.sitta.seleli...na wenzao wote..napenda kuwaambia wasiogope biblia inasema vita ya adui zao(MAFISADI) ni vita ya MUNGU...kama MTAAMINI HILI MPAKA MWISHO BASI watanzania tuko nyuma yenu hakuna kukata tamaa....
  hakuna aliemkimbilia MUNGU akaaibika...............
  Kila la kheri
   
Loading...