Kingunge, Lowassa, Sumaye...

Kingunge, Lowassa, Sumaye...

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,194
Reaction score
24,820
Hapo zamani za kaleeee....
 

Attachments

  • IMG-20151013-WA0034.jpg
    IMG-20151013-WA0034.jpg
    25.6 KB · Views: 1,610
Mabadilikoooooo kweli huu ni uchaguzi wa kihistoria
 
Team ya mabadiliko hiyo. Kama sio ujinga huu ni nini? eti mabadiliko!
 
Mwaka huu ni mabadiliko tuu.kama autaki kusikia neno mabadiliko nenda ukaishi Burundi.lowassaaaaaaaaaaaaaa
 
Kolabu ya karne hiyo ati.....
 
Mwaka huu ni mabadiliko tuu.kama autaki kusikia neno mabadiliko nenda ukaishi Burundi.lowassaaaaaaaaaaaaaa

Angalia usije ukaja kuacha kupitia jamiiforum!!!
Inaweza ikawa ndo kufa kifo cha mende kwa chama chenu mara baada ya uchaguzi na ikatokea usikipende tena!!!
Jua kuwa kuna wengi wanaoomba nafasi hiyo, hivyo usijiaminishe sana kuwa chama chako kitashinda!!! Bakisha ya kuongea baada ya uchaguzi kupita!!!
 
Back
Top Bottom