Kingereza ni kigumu kweli

Kingereza ni kigumu kweli

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Kuna sehemu fulani nlikuwa napita njia nikaona baadhi ya mabango ya majina ya bishara yameandikwa kama ifuatavyo:-
LEADS FIRST SALON,TUNABAN CD na jengine GOGEMENT DAY.Sijui ni mbwembwe za kuvutia wateja au kutokuja Ung'eng'e kwa ufasaha
 
Wameamua tu kuichafua c wajua tena lugha la wakoloni hilo.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kidhungu ni utumwa 100%.

Fear play---fair?????????

hugs...!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna Mabango niliona yameandikwa...We are repairing BREAK - BRAKE
LAIDES tailoring -LADIES tailoring
MOBAILE phones - Mobile phones
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom