Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Dah...Kiswahili chenyewe tu bado hatujawa sawa...ndiyo uanze kutuingiza kwenye Kiingereza?... .yaani ...I like me.....Just leave God be called God 🤣 😎
 
Rekebisha kwanza kiswahili chako maana kibovu.
 
Dah...Kiswahili chenyewe tu bado hatujawa sawa...ndiyo uanze kutuingiza kwenye Kiingereza?... .yaani ...I like me.....Just leave God be called God 🤣 😎
Writing/speaking broken English is a way of learning, certainly once corrected, a victim is expected not to repeat the same mistake. what lets you down is a tendency of some idiots, dissappointing the ones in the processing of learning, surprisingly most of those idiots cannot speak a single English sentence
 
Jaji mkuu mwenyewe kasema mahakama ziwe zinaendesha kesi kwa kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri sana ambalo hata mimi natamani kujua jibu lake.
Ukweli sijawahi kupata namna ya kulinganisha au kutofautisha/sijawahi fanya tafiti.
Daaah!
Lakini ni ukweli kwa kiasi kikubwa elimu itolewayo huku nchini kwetu haswa shule za umma ama zinazohudumiwa na serikali na haswa hizi za nyakati zetu, zimekuwa zikilalamikiwa Sana kwamba matarajio ya wengi yamekua tofauti na matokeo.

Na ni hali halisi iliyopo.

So nikadhani kwa wewe uliebahatika kupata elimu kwa mfumo tofauti na huu unaweza kujua Ninini tofauti iliopo na vipi unaweza kusahihishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…