Kingereza cha Diamond

Kingereza cha Diamond

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,881
Reaction score
7,536
Kipaumbele cha,kwanza elimu mbili elimu tatu elimu according tu platnumz *** ni njaa
 

Attachments

  • 1444408376650.jpg
    1444408376650.jpg
    45 KB · Views: 1,959
Ung'eng'e kazi aiseee, unaweza jikuta Ulimi umetoboka
 
Acheni kumchukia Diamond kwa sababu anamfagilia Magufuli. Hiyo ni lugha vijana wengi tu wanatumia mitandaoni. Kwani hapo alitakiwa kupasi Kiingereza? Nyie mnaomnanga Diamond mnajua hicho Kiingereza basi?
 
Diamond yupo sahihi sana tena hicho ni kiingereza cha kiutu uzima (mtu anayejua). Hajatumia tafsiri sisisi (literal translation) yaani neno kwa neno BALI dhamira ya ujumbe (context).
Ila nahisi kaandikiwa na mtu au yeye aliandika mtu fulani (huenda Zarina Hassan) akai edit.
 
Diamond anajitahidi kwa lugha ukizingatia hakusoma shule za kueleweka ametumia jitihada sake mwenyewe ccm siipendi ila yeye yupo kibiashara
 
Diamond yupo sahihi sana tena hicho ni kiingereza cha kiutu uzima (mtu anayejua). Hajatumia tafsiri sisisi (literal translation) yaani neno kwa neno BALI dhamira ya ujumbe (context).
Ila nahisi kaandikiwa na mtu au yeye aliandika mtu fulani (huenda Zarina Hassan) akai edit.

Khaaakhaaaakhaaaaa unalijua kosa lako?.
 
Kiingereza si kama kiswahili tu.??wanakosea kina beckham itakuwa diamond...!!
 
Kiingereza si kama kiswahili tu.??wanakosea kina beckham itakuwa diamond...!!
Halafu eti hawa ndio wanataka "kumkomboa" mtanzania toka kwa mkoloni mweusi. Watu wenyewe bado wanamsujudu mkoloni mweupe ka mungu vile. Ndio maana Mkapa alicharuka na kuwaita malofa na wapumbavu. #HapaKaziTu
 
Acheni kumchukia Diamond kwa sababu anamfagilia Magufuli. Hiyo ni lugha vijana wengi tu wanatumia mitandaoni. Kwani hapo alitakiwa kupasi Kiingereza? Nyie mnaomnanga Diamond mnajua hicho Kiingereza basi?
Sisi kutojua hakufanyi ndomo ajue wakati hajui
 
Mimi ningemshauri tu ampokee YESU, hiyo ndiyo salama yake, maisha bila YESU ni bure.Itamfaa nini mtu aupate ulimwengu wote halafu apoteze nafsi yake jehenamu milele. Bila YESU maisha ni bure.
 
Back
Top Bottom