AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Mentor,
Hapa sijui nikusaidie vipi,
King'ast tayari kashakukumbia!
Vivi naye huyooo anapaa!
Umetuachia wajane wawili... inabidi mimi nichukue nafasi!
mtaka yote kwa pupa hukosa yote. muwahi vivian umtoe ujane, manake mie siko kwenye shelf kabisaa. unless unataka kuibiwa,loli!
ha ha ha.... I see you see.... Mentor ka data tayari....lol