King'amuzi (Kisimbuzi) kinauzwa

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,834
3,530
King'amuzi (kisimbuzi) cha dstv kinauzwa, kimetumika miezi mitano tu, mwenyewe anahama.

Ukikinunua utapata na Vitu vifuatavyo;
1. Dekoda yenyewe.
2. HDMI Wire.
3. AV Wire.
4. Wire mrefu wa TV.
5. Cable ya kupeleka moto.
6. Dish na vikolokolo vyake.
7. Remote control.
8. Box la kuwekea dekoda bado lipo.
9. Warranty ya miezi 7.
 
Attachments

  • IMG_20230504_090303.jpg
    IMG_20230504_090303.jpg
    61.1 KB · Views: 8
King'amuzi (kisimbuzi) cha dstv kinauzwa, kimetumika miezi mitano tu, mwenyewe anahama.

Ukikinunua utapata na Vitu vifuatavyo;
1.Dekoda yenyewe.
2.HDMI Wire.
3. AV Wire.
4.Wire mrefu wa TV.
5.Cable ya kupeleka moto.
6.dish na vikolokolo vyake.
7. Remote control.
8.Box la kuwekea dekoda bado lipo.
9.Warranty ya miezi 7.

Bei 75k.
Location Mbezi.
For enquiry; +255 625 624756.

AhsanteView attachment 2609453

Sent using Jamii Forums mobile app
75,000/-????
Kwani vile vipya wanayouzaga vikiwa na offer ni bei gani?
 
DStv full package+one month offer ni 59,000. Ikiwa utahitaji fundi ni 79,000.

Halafu unaposema warranty ya miezi 7 sijui kama unaelewa terms and conditions za warranty.

1. Wewe sio mmiliki
2. Atakayenunua siye aliyesajiliwa na kampuni ya multichoice
3. Haijulikani amekitumia muda gani
4. Hakuna makabidhiano yanayoshuhudiwa na wa dealer
5. Kwa Tanzania yetu hii hata uwe na warranty card ni maamuzi ya muuzaji kukubadilishia kifaa. Akigoma huna pa kudai
 
Hiyo 59k ni zamani. Siku hizi vimepanda bei. Kuhusu Warranty ni ya miezi 12 kimetumika miezi 5. So 12-5=?
Na hiyo bei ni kianzio tu, there's a room for bargaining.

Hata hivyo ahsante Kwa mchango wako.
 
Hiyo 59k ni zamani. Siku hizi vimepanda bei. Kuhusu Warranty ni ya miezi 12 kimetumika miezi 5. So 12-5=?
Na hiyo bei ni kianzio tu, there's a room for bargaining.

Hata hivyo ahsante Kwa mchango wako.
Mkuu, warranty ni mara chache sana inakuwa transferable kutoka kwa mmiliki na mmiliki. Na hii ni pale ambapo mauziano yatahusisha watoaji wa warranty. Kuhusu bei, hadi sasa bei ni 59k
 
Mkuu, warranty ni mara chache sana inakuwa transferable kutoka kwa mmiliki na mmiliki. Na hii ni pale ambapo mauziano yatahusisha watoaji wa warranty. Kuhusu bei, hadi sasa bei ni 59k
decoder full set ni 99,000/= tzs + kifurushi cha compact mwezi mmoja bure.
 
Back
Top Bottom