hakuna kama dstv mkuu....
...wanazo free channels za nyumbani? ...kama wanazo ni zipi.. bei ya king'amuzi chao ni shs ngapi?
Leo hii 2017 DSTV wana channel karibia zote za TanzaniaDSTV wakiziweka tv za nyumbani zote hawatakuwa na mpinzani kwani wazamaji wengi wanapenda michezo