Kingamuzi gani kwa karne hii, ushauri ninunue

Kingamuzi gani kwa karne hii, ushauri ninunue

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
azam, dstv, ting, continental, dick tek

star staki hata kuisikia

ushauri, hela ipo
 
umekosea ulipo changanya na DSTV kwenye list yako, DSTV haina mpizani
 
Kama hela yako ni ya Kuchungulia, Chukukua Azam-TV na utafurahia.
 
Kwi kwi kwi eti star haitaki kuisikia kwi kwi kwi ni nikiwaona najisikia kichefuchefu..Dstv &.Azam Tv halafu kuna jamaa wapo tabata wanavisimbuzi vya ukweli sana laki na nusu...wako vizuri pia.
 
Back
Top Bottom