MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Umekosoa nini? Lakini pia umeelewaKing'amuzi sio king'amzi
Asante, wao kifurushi cha chin kabisa ni sh ngapi? PleaseZuku
Kisimbusi sio kin'gamiziKing'amuzi sio king'amzi
Asante, Lakini jibu Swali km topic inavyo jieleza.Kisimbusi sio kin'gamizi
Dish tu?Mimi natumia dish la star times
Hiyo ndo kiwango cha chini cha malipo?Mimi natumia dish la star times kwa mwezi ni TSh 9000
Nasikia azam package zake zinaanzia elfu 20startimes wana bei rahisi sana lakin channel zao sio nzuri, yani hazina vipindi vizuri.
jaribu Azamtv labda!
Duu kwa uchumi huu. Ngoja nibaki kwenye Cable.Azam 15
Mkuu hii unapata chanel ngapi?Dstv 19500
azamtv vifurushi vyao vinaanzia elfu 15 mkuuNasikia azam package zake zinaanzia elfu 20