King'amuzi changu kimepoteza chaneli kibao naomba msaada

King'amuzi changu kimepoteza chaneli kibao naomba msaada

Cccam naona nayo imezidiwa! Hadi wiki chache zilizopita ilikuwa ikifanya vizuri. Inakata na kueudi HARAKA (ilikuwa ina+auto refresh). Kwa sasa sivyo kabisa. Ikikata hai-refresh yenyewe. Mpaka utumie remote kuhama channel na kurudisha!

Je Cccam imezidiwa au ndo kitu kipya kinabuniwa ili tuambiwe kuwa huko ndo stable?

Wakuu Jerrykel, Njunwa, Mwl.Rct na wengineo hebu tujuzeni.
 
Hili jambo nilitaka kuliuliza wakati fulani siku za nyuma kama unavyosema week 2 hadi 3 cccam imekuwa ikisua sua sio stable kama inavyozungumzwa na siku za mwisho kabla avatacam haijakata avatacam ndio ilikuwa iko stable vizuri zaidi ya cccam nashuku ninazo account zote mbili naziona ufanisi wake kwa karibu bila.kumuuliza mtu juu ya ubora mi naamini haya matatizo hao wawekezaji watakuwa hawalali wakiyafanyia kazi kama ilivyokuwa shida za hapo awali na zika tatulika mradi tuna penya kwenye mlango wa dharura basi hatunabudi kunyenyekea na kuwa watulivu
 
Cccam naona nayo imezidiwa! Hadi wiki chache zilizopita ilikuwa ikifanya vizuri. Inakata na kueudi HARAKA (ilikuwa ina+auto refresh). Kwa sasa sivyo kabisa. Ikikata hai-refresh yenyewe. Mpaka utumie remote kuhama channel na kurudisha!

Je Cccam imezidiwa au ndo kitu kipya kinabuniwa ili tuambiwe kuwa huko ndo stable?

Wakuu Jerrykel, Njunwa, Mwl.Rct na wengineo hebu tujuzeni.

Mara nyingi inakua tatizo la network
 
XMASTER MINI HD DECODER Hi all, if you have a problem with your xmaster mini hd decoder please email me donglexmaster@g****.com and i will send you the software free of charge all together with instructions.

It will reset it back to life and u'l get the server connection also see my Fb page***free satellite diagnostics iks/sks.

habar bro mi nna kingamuzi cha startimes nlinunua kwa mtu ila nkiingia setting inadai code na maeneo baadhi na izo code sizijui wala alieniuzia azijui nfanyeje msaada pls!!
 
Guys if you have android phone, or tablet and you can connect to this APK
Please download this APK
http://www.leadcool.net/download/MXPlayer.apk
http://www.leadcool.net/download/Qhdtv.apk
Download and install this in your android phone or andriod tablet
connect to internet and get me for code you test how it works
no more hustling with freezing dongles enjoy more than 400 channels _ note you need stable internet for it to work
more email :donglexmaster@g....l.com
 
I iam allready download and it ask for the code what is the procedure to get code
 
Back
Top Bottom