G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 926 Reaction score 638 Jun 9, 2011 #1 Wataalamu naomba kuuliza, je hawa startimes wameanza kurusha matangazo mkoa wa kilimanjaro,kwa kua kuna ndugu yangu amenunua anasema hakuna signal, i mean hakuna strength wala quality zote zipo zero, au zinahitaji antena ya nje.
Wataalamu naomba kuuliza, je hawa startimes wameanza kurusha matangazo mkoa wa kilimanjaro,kwa kua kuna ndugu yangu amenunua anasema hakuna signal, i mean hakuna strength wala quality zote zipo zero, au zinahitaji antena ya nje.
BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,868 Reaction score 308 Jun 9, 2011 #2 Jaribu kutumia Antena ya nje, usitumie antena zao hazina nguvu kulinganisha na Antena za kawaida.
G GHANI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 926 Reaction score 638 Jun 9, 2011 Thread starter #3 BinMgen said: Jaribu kutumia Antena ya nje, usitumie antena zao hazina nguvu kulinganisha na Antena za kawaida. Click to expand... nashukuru kwa msaada wako but nilitaka kupata uhakika zaidi wameshakua hewani mkoa wa kilimanjaro mwenye details naomba msaada.
BinMgen said: Jaribu kutumia Antena ya nje, usitumie antena zao hazina nguvu kulinganisha na Antena za kawaida. Click to expand... nashukuru kwa msaada wako but nilitaka kupata uhakika zaidi wameshakua hewani mkoa wa kilimanjaro mwenye details naomba msaada.