King'amuzi cha Star Times wajameni

Kuna jamaa anakufungia dish unanunua decoder usd 200 na unamlipa 250,000 per year unapata channels nyingi za maana unaona premier leage, la liga, bundasliga na movie mpya mpya.....
mmmh hapa kuna changa la macho ndio wale wanakufungia baada ya mwezi unakuta hamna kitu ukimuuliza anakwambia TV zimebadilisha namba za channel mpk apate namba mpya, kama una uwezo funga DSTv ni mwisho wa matatizo
 
Brother Paulo na mie natafuta sana king'amuzi cha ATN. Naomba unambie naweza kukipata wapi kama niko maeneo ya Mwenge manake nasikia ni hadi uende kule kanisani kwao jogoo

Mkuu hakuna sehemu nyingine waweza pata decoda za ATN zaidi ya pale kanisani kwao kwa hapa dar. Ukifika pale jogoo-mbezi beach utaona kiwanda cha cotex, then unakizunguka kwa nyuma ndo kanisa lao na kituo chao cha TV kipo. Cheki ramani hii itaweza kukusaidia kufika.

2011-01-28_1106.png
 
usijaribu kununua hizo ndude kwani utapoteza pesa bure.ni niliingia chaka nikanunua na haikuwahi kufanya kazi kwangu.nina binamu yangu anayo lakini ndo hivyo mi channel mingi haina maana na cha ajabu zaidi chanell ya movi ina mozi za kuhesabu na wanarudia hizo kila leo.ingia dstv
 
Ni kweli umenena mkuu. Ndo maana nawaambia watu wawe makini wanaponunua kwani mchina ndo alovitengeneza na ndo anayeviuza pale Bamaga kwenye ofisi za TBC. Wengi wamelalamikia ving'amuzi vya star times nao badala ya kuboresha eti wameshusha bei. Lol..
 
mkuu nimenunua kingamuzi cha startimes najutia pesa yangu nilotoa inakatakata picha sana na sauti kifupi ubora ziro ucpoteze pesa yako
 
mkuu nimenunua kingamuzi cha startimes najutia pesa yangu nilotoa inakatakata picha sana na sauti kifupi ubora ziro ucpoteze pesa yako
acha hizo. angalia na location uliyoko. mbona sie wengine king'amuzi poa tu? sema channel ndio wakati mwingine zinaboa kiaina. walisema wataongeza za michezo na ila ya kiutu uzima
 
Back
Top Bottom