Wana jamii kama sio ndugu yangu amenipigia sm ningearibu tv yangu, mm nilijua tv yangu mbovu kumbe ni kingamuzi cha star time kinazingua vp maeneo yenu hilo tatizo lipo ?
Kibo 10 hili jambo la escrow acc ahdari zake zinaanza kuonekana wamejua jumatatu mjadala unaanza sasa wamezima kungamuzi, chezea pesa ww? Wakizima umeme watu wamepania kwenda kwenye majenereta
Hata kwangu.kimezima ghafla nikabaki nashangaa. Watutake radhi basi siyo kukaa kimya. Namshukuru Mungu nimegeukia kingine ingawa nimekosa isidingo. Hivi ni kwanini ITV hawajiungi kwenye DStv