Mpango mzima ni ma dish ya free channel
Au hii digitali tuigeuzie kibao kama gesi ya Mtwara. Iweje watuuzie kisumbufu kwa kilo 140?Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.
Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu.
Huyo mfanyakazi ndiye anayesema kuna tetesi au hizo habari wewe ndio unaziita tetesi? Watu wengi inawezekana hawajui mambo yanayoendelea nchini tangu mitambo ya analojia izimwe.
Kwa local TV hakunaga kama Capital TV,ni ya ukweeechannel 20 za ukweli za Mengi zote zipo ndani radio one na capital tv
Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.
Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu.