King'amuzi cha Digitek

Vinapatikana wapi hapa Dar-es-salaam kwa uhakika zaidi? au ofisi yao iko wapi?
 
Ngoja tuende huko ofisini kwao tupate more and clear information ........... hapa JF naona ni malumbano tu
information ya kutosha ZERO
 
kama hakuna soka vizimwe tu nchi kwani ni maigizo tu.

Ndiyo nyie mnaoshindana kwa ubishi hata kupigana kwa sabau ya timu za ulaya wakati rasilimali za nchi zinaibiwa، nilidhani kipaumbele chako kingekua habari (news channels) ambayo inakuongezea ufahamu wa kumla, halafu mpira kwakua ni burudani ikawa chaguo la pili,
ukumbuke mpira ni ajira kwa anayecheza kwa mtu wa aina yako mpira ni burudani, kwahiyo uburudike baada ya kuingiza kitu kichwani (ufahamu) na mfukoni (pesa kwa kufanya kazi)
 
Ngoja tuende huko ofisini kwao tupate more and clear information ........... hapa JF naona ni malumbano tu
information ya kutosha ZERO


Kweli akili nywele! Penye malumbano ndiyo penye fursa nzuri ya kupata elimu ya kutosha. Kumbuka katika hawa wanaolumbana wengine wana ufahamu mkubwa zaidi wa haya mambo kuliko mimi na wewe. Ndiyo maana umeona hata huyo mtu wa TCRA amekuja kuclarify some issues kwa kuthamini arguments za wanaolumbana.Haya wewe nenda huko ofisini kama haujaishia kurudi tena hapa JF kuuliza wakati mambo yameshaenda kombo,tafakari!
 
Ngoja tuende huko ofisini kwao tupate more and clear information ........... hapa JF naona ni malumbano tu
information ya kutosha ZERO

Nenda pale karibu na kijiji cha makumbusho mwenyewe nikekifuata last week connection simple and clear hakuna kugeuza anntena kisarawe
 
Mkuu TCRA nashukuru kwa ufafanuzi wa kiutalamu unaoutoa kuondoa mkanganyiko kwa wananchi. Ninaomba kueleweshwa kama ile kauli yenu ya local chanels kuonyeshwa bure mbona utaratibu huo umeanza kukiukwa na kampuni moja bado mapema kwa kuwasainisha wateja mkataba wa lazima kulipia tshs 6000 kwa mwezi bila hivyo uoni chochote?

Kwa kuwa nchi yetu imejiunga na ushirikiano wa Afrika mashariki,ili kudumisha ushirikiano huo na kujua wenzetu wanafanya nini ili tusiwe wasindikizaji kwenye ushirikiano huo hauoni umuhimu wa local channels za KENYA ,UGANDA,RUANDA NA BURUNDI Zikajumuishwa kenye list ya local channels?
 
Elfu 6 tena si tunatangaziwa kuwa hakuna kulipia mwisho wa mwezi ukinunua.Hebu fafanua hiyo 6000 inatoka wapi tena?
 
Hiki si hakitumii satelaiti?kwa hiyo ni sawa na Startimes,ambayo mpaka uelekeze antenna Kisarawe ,sasa hii Dig Tek sijui antenna inaelekezwa wapi,na si ajabu ni maeneo yalio karibu tu ndio hupata signal,hebu mtueleze na coverage yake kwa mfano hapa jijini Dar
 

Ili uone HD unahitaji source zako zote ziwe HD...kwa mfano HD movie lazima uwe na hd tv,hd dvd player na hd dvd[blue ray].....ili uone hd tv broadcast unatakiwa uwe na hd tv...hd set top box[digitek au dstv pvr] na tv broadcaster arushe matangazo kwa HD format....swali la msingi...Je ITV na local channel nyingine wanarusha matangazo kwa HD format??i dont think so.....sasa basi hao itv wakisema utaona matangazo yao kwa HD just bcoz digitek decoder ni HD ni upotoshaji.
 

...Hajakujibu?? Ni bahati mbaya sana kwamba hawa Jamaa wa TCRA wakiona maswali mepesi mepesi wanakuja hapa kwa Mbwembwe kutoa Maelezo lakini wanapopigwa maswali muhimu na magumu kama uliyouliza, wanaingia mitini bila hata kuaga...So Sad.:nono:
 
Ili uone HD unahitaji source zako zote ziwe HD...
swali la msingi...Je ITV na local channel nyingine wanarusha matangazo kwa HD format??
TCRA alishajibu hilo mkuu!
 
Hivi ving'amuzi bado vinatumika kweli au vilishajifuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…