Kingamuzi cha Continental

Kingamuzi cha Continental

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
251
Reaction score
155
Hawa Sahara media wazushi kweli yaani wameshindwa hata kuweka bbc; cnn; aljazeera; msbn; emmnuel tv; Reuters; na ya wanyama hata moja; kwenye kingamuzi chao; ndio maana sijakinunua; acha nibaki na ungo wangu wa satellite;
 
mkuu tbc unaipata kupitia huo ungo wa setelait??
 
Hawa Sahara media wazushi kweli yaani wameshindwa hata kuweka bbc; cnn; aljazeera; msbn; emmnuel tv; Reuters; na ya wanyama hata moja; kwenye kingamuzi chao; ndio maana sijakinunua; acha nibaki na ungo wangu wa satellite;
Na walipo jua kuwa una vi-element vya kusema na kutoa ushuhuda wenye mashaka nao wameamua kutokushawishi kununua kisimbuzi chao!
 
Back
Top Bottom