JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
Hawa jamaa Sahara media sijui ni utaalamu umewapiga chenga hata ccn, aljazeera, bbc, emmanuel tv, msbn, Reuters, ktv-Kenya na chaneli hata moja ya wanyama wameshindwa kuweka kwenye kingamuzi chao hawa Sahara media wajipange; ndio maana sijajua bado natumia satellite dish free chaneli; wajipangeeee Sahara media