COURTESY
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 2,006
- 712
Hivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
hahahaha only in Tanzania,serikali yetu imetuharibu sana lol
Hivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
Uganda wakavipiga marufuku hata kugusa ardhi yao.
sio taarifa za uongo wewe. kuna ving'amuzi vya Star times vimepigwa marufuku Uganda kwa sababu teknolojia yake haiko katika viwango! fuatilia...Mbona huwa mnapenda kutoa taarifa za uwongo hivyo? Au hiyo Uganda unayoizungumzia ni ipi?
sio taarifa za uongo wewe. kuna ving'amuzi vya Star times vimepigwa marufuku Uganda kwa sababu teknolojia yake haiko katika viwango! fuatilia...
Dont believe everything you read on newspapers, Kampala sehemu kubwa wanatumia visambuzi vya startimes hii ni taarifa ya sasa hivi ninavyoongea.
soma basi hii kitu! then fanya utafiti TZ hao jamaa wanauza ving'amuzi aina gani DVB-T2 au DVB-T1 maana DVB-1 imapigwa marufuku huko UG! tusivute mjadala bure!
Hakuna sehemu hiyo habari inasema visambuzi vya startimes vimepigwa narufuku kugusa ardhi ya Uganda. Hapo ndipo uwongo ulipo. Startimes wanauza sana tu Uganda.
okey nimekubaliana na wewe ktk argument yako. kwa vile gazeti ndo limetoka leo basi nadhani jamaa wa startimes watatoa ufafanuzi. meanwhile wana-JF tufuatilie ving'amuzi vyetu kujua ni vya teknolojia gani kati ya DVB-T2 na DVB-T1 maana DVB-T1 ndo inadaiwa kupitwa na wakati. meanwhile tunweza ku-google tujue status yake kwa sasa! tchao...😱hwell:
mfianchi tuliokuwa karibu na maeneo ya magereza au majeshi kuna ukumbi unaoitwa "Welfare" ndipo tulipojulia TV inafananaaje....wakati huo ni black & white halafu chenga kibaoDa hii dijitali imenikumbusha miaka ya 47 ambapo tulikuwa tunaenda kusikiliza taarifa ya habari kwa balozi wa nyumba kumi au kwa mwalimu mkuu ,watu walishindwa kuwa na radio kwa kuwa na bei pia kulikuwa na kodi ya radio, kodi ya baiskeli hata hizi TV zilipoanza zilikuwa zinalipiwa kodi.
Dont believe everything you read on newspapers, Kampala sehemu kubwa wanatumia visambuzi vya startimes hii ni taarifa ya sasa hivi ninavyoongea.
DSTV wataanza kuonesha lini local channels hizo maana wako na TBC only.Bado unauliza swali kama hili?kweli watu wagumu wa kuelewa MAMLAKA YA MAWASILIANO INA KAMPUNI TANO ZINAZORUSHA MATANGAZO YAO BURE
1.CH TEN
2.TBC1
3.ITV
4.EATV
5.STAR TV.
HIZI HATA UKILETA KINGMUZI CHA WAPI SHARTI UZIRUSHE BURE.
Dstv hizo ni level nyinge. Hyo quality ya dst ni another level.yani watasubiri sana.tatizo ni malipo yake kuwa juu.