mujusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 237
- 58
Kwani cha Star TV kimeshaanza kuuzwa mbona bado wanaendelea kutangaza "kitaanza kuwepo madukani hivi karibuni"? wapi vinapatikana na kwa bei gani?hiki cha hawa jamaa wa mwanza startv. mia
Kwani cha Star TV kimeshaanza kuuzwa mbona bado wanaendelea kutangaza "kitaanza kuwepo madukani hivi karibuni"? wapi vinapatikana na kwa bei gani?hiki cha hawa jamaa wa mwanza startv. mia
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
star times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
watagawa bure kwa kila mwananchi mwenye tv ili kuliteka sokoHicho kin'gamuzi kinauzwa bei gani?
Hivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia
yeye ni sales afisaHivi unakuaje na ujasiri wa kusifia kitu ambacho hujawahi hata kukiona?
walionunua ving'muzi vya Star Times wameliwa! Teknolojia yao inaisha Dec. 2013. China waliikataa teknolojia hiyo. Uganda wakavipiga marufuku hata kugusa ardhi yao. ila TZ ndo tumeliwa, intelijensia ya TZ iko senseless mia. but iko too sensetive zinapokuja ishu za vyama vya upinzani!
yeye ni sales afisa
ndo mkate unapatikana hapo,
ndo maana hata hasemi kuna chaneli ngapi,
utashangaa unakutana na star TV tu
Bora hicho nianze kuwarekodia taarifa ya habari majirani zangu maana tangu anolijia izimwe sebuleni kwangu kumegeuka ukumbi wa kijiji. Sasa ntaanza kurekodi na kuonesha kwa makundi madogo madogo kwa zamu, wasiharibie sofa zangu za keko.
vipi naweza kuwa wakala wa hivyo ving'amuzi vya kurekodi?miastar times tupa kule, zuku tupa kule,easy tv tupa kule, ting tupa kule, digitek tupa kule. mpango ni king'amuzi cha continental aina ya T2. Mimi nmekipenda sababu kinarecord vipindi. yaani kama upo busy na kipindi kinaendelea unauwezo wa kurecod na kuangalia baadae. unatumia flash na kila kitu. mda si mlefu ving'amuzi vya bamaga vitajiju. mia