King'amuzi cha Continental na Ting

Unachobisha nini sasa?usibishe basi kitu usichokijuwa,baada ya hiyo satellite kuwa attack ni muda ndio na kwa ving'amuzi vyote vinavyotumia satellite hiyo kurushia matangazo vimekata na kweli ni muda sasa hawapatikani kama continental nk
We hata haujui satellite zina cruise kwenye altitude gani utdhani hizo ni njiwa hata Boeing ikiwa 35000 ft magaidi hawezi itungu hawana hiyo tech bado hakuna silaha ya kutungu kitu kilocho outer space wacha uongo imepotea period
 
Hawa jamaa mpaka leo hawajaweza kurudisha huduma mbona wanatesa wateja
 
Hivi bado u experience the same shit,?sibishani na wasioweza kuthubutu kufikiri na kaa kimya kama hujuwi,ving'amuzi vimesharudi kwenye huduma sasa na wamehama satelite tayari,sasa endelea kubwabwaja nakutoka povu
 
Na Digitek nao Channel nyingi hazipatikani na hata hizi zilizopo hazina uhakika wa kuonekana muda wote maana huwa zina katika katika mara kwa mara na hawajatoa taarifa tangu mwanzoni mwa mwezi December
 
Hivi bado u experience the same shit,?sibishani na wasioweza kuthubutu kufikiri na kaa kimya kama hujuwi,ving'amuzi vimesharudi kwenye huduma sasa na wamehama satelite tayari,sasa endelea kubwabwaja nakutoka povu

Ndo nichokueleza najua vimeludi na ninafanyakazi hapo we ndo hujui chochote unadanganya watutu eti magaidi wamelipua wacha uongo
 
Attachments

  • 1450206310659.jpg
    65.6 KB · Views: 193
Ndo nichokueleza najua vimeludi na ninafanyakazi hapo we ndo hujui chochote unadanganya watutu eti magaidi wamelipua wacha uongo

Kama wamsharudisha huduma kelele za nini? Watanzania banah acha kutoka povu basi
 
Kama wamsharudisha huduma kelele za nini? Watanzania banah acha kutoka povu basi

We ndo mto povu na mpiga kelele unapotosha tu umma huna hata knowledge ya haya mambo hata common sense hakuna, really ugaidi na satellite wapi na wapi
 
Hawa jamaa mpaka leo hawajaweza kurudisha huduma mbona wanatesa wateja

Kweli hakuna uhusiano mzuri kati ya kampuni na Wateja lakini imerudi hewani kwenye sat ingine so kuna adjustment za dish tu lakini kama no antenna utapata bila adjustments continental
 
Hivi jamani digitek wapo satellite gani? kwa madish???
 
Ndo nichokueleza najua vimeludi na ninafanyakazi hapo we ndo hujui chochote unadanganya watutu eti magaidi wamelipua wacha uongo
Ninaomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Kachukue kadi na uisajili, wamefunga channel kwa watu ambao hawajajisajili
 
Gharama zako za kujisajili zikoje na malipo yao ya kila mwezi ni tshs?
 
mwenye namba yao ya simu atuwekee hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…