wounded man
Senior Member
- Feb 2, 2019
- 165
- 243
mkuu chukua 25000 vinasumbua sana hivyo.
Mkuu ongeza 5 uje ukichukue hapamkuu chukua 25000 vinasumbua sana hivyo.
Hakuna mkuuMkuu hauna Jirani msabato umuuzie?? Maana wanapenda sana iyo kitu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mkuu ikifika 5,000 mpe bodaboda aniletee chalinze. Bei ya usafiri utalipia wewe
Mkuu watu wa chalinze akili zenu hata shetan anazishangaamkuu ikifika 5,000 mpe bodaboda aniletee chalinze. Bei ya usafiri utalipia wewe
Mkuu watu wa chalinze akili zenu hata shetan anazishangaa