Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,431
- 46,168
Chukua canal+ Mkuu wana channels nyingi za movie kwa gharama ndogo.Mimi ningepata king'amuzi chenye ma channels ya kutosha yamovies ningekua mteja,mpira sio inshu sana kwangu.
Nna Dstv, wana channels lkn gharama zao kibongo kibongo sio rafiki,azam niliwahama zaidi ya zile mbc2 hawana channel za movie za maana.
Android tv box nikiifikiria naona gharama itakua kwny matumizi ya bando so sija save chochote,any msaada wajomba.
Thnxs sana mkuu,na channels za movie ziko kwa kiingereza au na zenyewe ni full kifaransa mkuu?Chukua canal+ Mkuu wana channels nyingi za movie kwa gharama ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Channels za movie ni EnglishThnxs sana mkuu,na channels za movie ziko kwa kiingereza au na zenyewe ni full kifaransa mkuu?
Thnxs kiongozi.
Ooooolalaaaaa....Merci bocoup! Est ce vou allez!! Ha ha ha haaa! Hadi kero!Wananiniboaga na French commentary!
So mkuu kinafaa kuwa nacho? Nataka nikitafute japo kifaransa kinanitia wasiwasi
Cha muhimu kama ni soka si unamuona Pogba akifanya yakeOoooolalaaaaa....Merci bocoup! Est ce vou allez!! Ha ha ha haaa! Hadi kero!
Kina leagues zipi kiongozi
55 king'amuzi gn?45000 ni nafuu sana, Mimi wananipiga 55,000 kwa mwezi
Chukua canal+ Mkuu wana channels nyingi za movie kwa gharama ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mpenzi wa movie, tafuta Roku Streaming Stick+,Mimi ningepata king'amuzi chenye ma channels ya kutosha yamovies ningekua mteja,mpira sio inshu sana kwangu.
Nna Dstv, wana channels lkn gharama zao kibongo kibongo sio rafiki,azam niliwahama zaidi ya zile mbc2 hawana channel za movie za maana.
Android tv box nikiifikiria naona gharama itakua kwny matumizi ya bando so sija save chochote,any msaada wajomba.
Bongo inapatikana wapi?Kama mpenzi wa movie, tafuta Roku Streaming Stick+,
View attachment 993452
Sent using Jamii Forums mobile app
Startimes.Mimi ningepata king'amuzi chenye ma channels ya kutosha yamovies ningekua mteja,mpira sio inshu sana kwangu.
Nna Dstv, wana channels lkn gharama zao kibongo kibongo sio rafiki,azam niliwahama zaidi ya zile mbc2 hawana channel za movie za maana.
Android tv box nikiifikiria naona gharama itakua kwny matumizi ya bando so sija save chochote,any msaada wajomba.
55 king'amuzi gn?
Thnxs sana kiongozi,lkn nahisi itakua ni very expensive kutumia bundle kucheki movies kwny hio kifaa mkuu au?Kama mpenzi wa movie, tafuta Roku Streaming Stick+,
View attachment 993452
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu, bundle lina husikaThnxs sana kiongozi,lkn nahisi itakua ni very expensive kutumia bundle kucheki movies kwny hio kifaa mkuu au?