Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

Kinakuja,
Maamdalizi yanaendelea about 60% ya mambo yanayotarajiwa kufanyika yameshakuwa tayari kama mtiririko huu hapo chini:
1: Jengo yaani media house limeshanunuliwa - Nyerere road just baada ya mataa ukitokea airport upande wako wa kulia
2: Interviwe za wafanyakazi - the most ultra expertise staff tu zimeshaanza na zinaendelea kufanyika.
3: Aliyekuwa MD wa GTV ( ile iliyorun bankrupt ndio atakuwa MD wa Azam Media
4: Vinga'amuzi kuanza kuuzwa "labda" this October.
5: mchakato wa kisheria na kikanuni unakamilika.
6: itakuwa ni pay TV, competitive na full options.
7: Kutakuwa na channel nyingi za burudani, michezo, mambo ya kijamii,news and hot hot links.
8: It is a revoultioanry move.....stay tuned

shukrani kwa taarifa kwanza nimefurahi kuwa watatumia mfumo wa dvb s badala ya dvb t hii itawezesha watz vijijini kupata huduma hii,nilikuwa na mipango yakuchukua zuku lakini sasa naacha nisubiri hii azam, na ukizingatia zuku imepandisha malipo ya mwezi kwa asimia 20. Kama kutakua na cnn,aljazeera,bbc, na sky news basi kiu yangu itakwisha kabisaa!!!!
 
Back
Top Bottom