Kununua used sio nzuri sana hasa hivi ving'amuzi otherwise mtu anayekuuzia akufanyie umiliki toka kwake kuja kwako!
Mara nyingi huwa Tsh 100,000 lakini pia inategemea na shida ya muuzaji.
Ushauri ni heri ujitutumue ununue kipya kwa Tsh 153,5000/= bila ufundi wala kifurushi.
Jipinde tu ununue kipya bro. Utakuwa na amani sana. Ila used kwa laki moja ama 90,000/- unapata kwa mtu, ila not guaranteed. Kama uko serious ruka PM kwangu
Azam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.