King'amuzi cha azam na "no program"

King'amuzi cha azam na "no program"

nyamva

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
244
Reaction score
156
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha tatizo lihusulo king'muzi cha azam
baada ya kukitumia kwa muda wa mwaka mmoja Leo kimekuja na usemi wa (no program), nimefanya kila aina ya utundu lakini nimeambulia patupu.

Kifupi hakuna hata channel moja inayofanya kazi.

Jamani mwenye uelewa anisaidie kufumbua hili tatizo.

Nawasilisha!
 
Weka new soft ware kama wanavyoelekeza mara kwa mara kwenye Xtra channel.Ukishindwa nenda kwao wakirekebishe
 
Zile process wanazozionesha haraka haraka vile hakuna mtu ambaye anaweza kuzikariri na kufanya kama wanavyoelekeza.
 
pole mkuu fanya hivi

Ukitaka ku Update software mpya kwenye Azam decoder bonyeza menu, kisha bonyeza 012 kupata menu ya pili, utaenda kwenye OTA kisha utabonyeza ok, juu kabisa kuna neno Update PID utaweka 8001 kwa chini kwenye frequency utaweka 11356 h 45000, kwenye lnb frequency utaweka 9750-10600 kisha utabonyeza ok

itajizima na kuwaka yenyewe kisha itafanya update .. usiizime hadi imalize
 
mkuu nakushukuru sana kwa msaada huu, maana nilikuwa nauhitaji sana! niweka software tyari kwa king'amuzi changu!
 
Miye changu nacho kiliandika km wewe, fundi alipokuja akabadili kile kifaa km kitochi hivi na mambo yakawa safi.
 
Mkuu nimejaribu kufuata hayo maelekezo yote lakin cha kushangaza decorder inawaka tu haifanyi chochote!
 
pole mkuu fanya hivi

Ukitaka ku Update software mpya kwenye Azam decoder bonyeza menu, kisha bonyeza 012 kupata menu ya pili, utaenda kwenye OTA kisha utabonyeza ok, juu kabisa kuna neno Update PID utaweka 8001 kwa chini kwenye frequency utaweka 11356 h 45000, kwenye lnb frequency utaweka 9750-10600 kisha utabonyeza ok

itajizima na kuwaka yenyewe kisha itafanya update .. usiizime hadi imalize
Habari king’amuzi changu comand za 012 hazikubali nifanyeje?
 
Back
Top Bottom