King'amuzi cha Azam Mwanza kinahitajika

King'amuzi cha Azam Mwanza kinahitajika

mailimoja77

Member
Joined
May 18, 2016
Posts
21
Reaction score
8
Habar zenu...
Yeyote aliye Mwanza na Anauza king'amuzi chake cha Azam anachotumia nyumbani anicheki PM nahtaji kununua

NB: nahitaji king'amuzi Used sio kipya cha dukani.

Asanteni
 
Nataka niongeze hela nkanunue star times nasikia DISH & LNB vinaingiliana
 
Nipo Dar es Salaam nahitaji King'amuzi/decoder pekee ya azam, tafadhari aliyenayo 0717378462
 
Back
Top Bottom