kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,542 Apr 23, 2021 #1 Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje.
kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,542 Apr 23, 2021 Thread starter #2 Chief-Mkwawa
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,588 Reaction score 81,562 Apr 23, 2021 #3 Angalia kama umeme upo inawezekana LUKU imeisha.
kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,542 Apr 23, 2021 Thread starter #4 Chaliifrancisco said: Angalia kama umeme upo inawezekana LUKU imeisha. Click to expand... Umeme upo..nimekitest kwa jirani pia hakiwaki..hapa nna option ya kwenda makao makuu..Ila ndo first time..vipi gharama zao zinazidi 10k?
Chaliifrancisco said: Angalia kama umeme upo inawezekana LUKU imeisha. Click to expand... Umeme upo..nimekitest kwa jirani pia hakiwaki..hapa nna option ya kwenda makao makuu..Ila ndo first time..vipi gharama zao zinazidi 10k?
Patupu Member Joined Nov 10, 2018 Posts 63 Reaction score 94 Apr 23, 2021 #5 kitonger said: Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje. Click to expand... itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar
kitonger said: Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado tatizo lipo vilevile..Msaada wakuu nifanyaje. Click to expand... itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar
kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,542 Apr 23, 2021 Thread starter #6 Patupu said: itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar Click to expand... asante mkuu..vipi gharama zake.
Patupu said: itakuwa upande wa power circuit yake kuna kitu kimekufa.. peleka tazara kunaofc za azam pale wanashughulikia kama upo dar Click to expand... asante mkuu..vipi gharama zake.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Apr 23, 2021 #7 Umeangalia ile switch ya nyuma ya king'amuzi imewashwa?
kitonger JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 1,164 Reaction score 1,542 Apr 23, 2021 Thread starter #8 Chief-Mkwawa said: Umeangalia ile switch ya nyuma ya king'amuzi imewashwa? Click to expand... yah mkuu.
Chief-Mkwawa said: Umeangalia ile switch ya nyuma ya king'amuzi imewashwa? Click to expand... yah mkuu.
Patupu Member Joined Nov 10, 2018 Posts 63 Reaction score 94 Apr 23, 2021 #9 kitonger said: asante mkuu..vipi gharama zake. Click to expand... kama kipo ndan ya warrant ya mwaka mmoja ni bure.. ila kama ni cha muda mrefu nafikir haizid elf 10 ,watakupa muongozo,. kila la kheri..
kitonger said: asante mkuu..vipi gharama zake. Click to expand... kama kipo ndan ya warrant ya mwaka mmoja ni bure.. ila kama ni cha muda mrefu nafikir haizid elf 10 ,watakupa muongozo,. kila la kheri..
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,014 Reaction score 684 Apr 26, 2021 #10 Kimeungua itakuwa! Km kulinyesha mvua na radi zikapiga Basi itakuwa kmeungua! Kwa dar wanatengeneza bure kwa huku kwetu mafundi elfu 20
Kimeungua itakuwa! Km kulinyesha mvua na radi zikapiga Basi itakuwa kmeungua! Kwa dar wanatengeneza bure kwa huku kwetu mafundi elfu 20