masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,920
- 15,166
Kweli haka kagonjwa ni kiboko maana Tiba yake nimeipenda sana
hivi vigonjwa vya kutoka Afrika vitawachanganya walimwengu
na wala sio eti Wamerekani wamechanganya Virus kuja kutumaliza
ni uchafu wetu wa kushiriki na wanyama na kula nyama zao
![]()
Kwanini unaamini hivyo au kwa sababu kasema mtu mweupe?
Kuna nyama zinaletwa mjini wanasema nyama pori na zinauzwa ghali kweli...nyama pori watu wanakula wasijue ni mnyama gani...hayo ndo yanatuletea magonjwa ya ajabu...kama ebola