Ni Waswaziland wale si watanzania. Tuna tamaduni tofauti na hii si ajabu maana kila taifa na kabila lina utamaduni unaolitambulisha dhidi ya mataifa/makabila mengine. Inawezekana baadhi ya mambo katika tamaduni fulani yakawa kero kwenu kama mambo ya kwenu yalivyo kero kwao maana sumu inayoweza kukuua wewe inaweza kuwa dawa muhimu kwa mwingine. Si vema kuukosoa utamaduni wa wengine usiotuhusu ili mradi wao pia hawaukosoi wenu.KUmbe binti yake kweli!!!! Do lakini kifua wazi mbele ya baba! Wakaka wa JF mpa hapo?
Daaah Ziwa konzi aiseee!!
Nikuulize swali Kaka yangu El Toro: Hivi hata ingekua sio mwanae, na anataka kuoa tena, ubaya uko wapi? kabla ya kumlaumu unatakiwa kuelewa sababu za msingi za King kua na wake wengi, na pia sababu za msingi za western countries kukataza mke zaidi ya mmoja alafu ndio ufanye comparison: kwa interest zake yeye Mswati, na interest ya population yake, bora afate mila ya Swaziland au afate mila ya west?
Hawajasma kua jamaa anamfaidi binti yake, wamesema kua the first idea kua ni mke wake wa mwisho is wrong, the girl is his own daughter, Princess of Swaziland.Maona umekuja kwenye role of the great thinkers. Discusssing ideas. Naomba tuache sasa mambo ya jamaa kufaidi Binti yake.
Tujuze
1) Kw anini mfalme anakuwa na wake wengi?
2) kwa nini Westerners are opposing having more than one wife (but alowing concubines)
Hawajasma kua jamaa anamfaidi binti yake, wamesema kua the first idea kua ni mke wake wa mwisho is wrong, the girl is his own daughter, Princess of Swaziland.
Kuhusu hayo maswali hata mimi sina jibu ila nahisi kua
- in the Swazi tradition kua na wake wengi ni symbol of power na King anatakiwa kuongeza power yake kila mwaka.
- Swali la pili nadhani ni kutokana na Dini ya Kikristo kuitawala serikali na sheria za kizungu kuundwa kwa kuiheshimu dini hiyo. leo hii dini haina nafasi kubwa sana ila sheria zile zime-shape mentality.
namuonea huruam mke wa kwanza......usikute hajaliwa mzigo miaka sasa
ilo ziwa aisee! Mkwer.e nae anataka ila basi tu.
kweli bwana kumbe ni binti yake aiseee
********* anafaidi sana huyu!
ila lazima jamaa wanamsaidia tu, hata kama anakula viagra, haweza kuwatosheleza wote.
Safari hii, viongozi wetu wa juu hawakwenda huko nao wale hata makombo?
US hw.[/aQUOTE]ana mpango naye, hana resource yoyote ya maana,mkuu sithanii kama unalosema ni sahiii,yani hizo resource za mabinti kindaaa....bi ki ra orijino sio rasilimaliii,kumbukaa sio za kichinaa mzeee
********* anafaidi sana huyu!
ila lazima jamaa wanamsaidia tu, hata kama anakula viagra, haweza kuwatosheleza wote.
Safari hii, viongozi wetu wa juu hawakwenda huko nao wale hata makombo?
US hw.[/aQUOTE]ana mpango naye, hana resource yoyote ya maana,mkuu sithanii kama unalosema ni sahiii,yani hizo resource za mabinti kindaaa....bi ki ra orijino sio rasilimaliii,kumbukaa sio za kichinaa mzeee
Ni kweli kaka yangu, lakini hizo resources za mabikra wa US hawamind sana, labda sisi waafrica. Hata hivyo, the country has the highest rate of HIV infection in the world!!!