Watu wakambeza eti amekuwa "Chid Vitz" aisee waja sio wema. Ila wakuu tutumie vyote ila Unga hapana kabisa.





hapo kwenye kubali kiaina kulikuaga na mzuka kweli., ..😉🤣🤣🤣
Jamaa legendary sana, na anajielewa sana. Wadau wanaendaga kumfanyia interview na maswali ya kipuuzi fulani, lakini jamaa anawajibu kwa majibu ya kipuuzi lakini ya kufikirisha sana.Jamaa namkubali mpaka leo hasa interview zake na majibu yake😂😂😂
hapo kwenye kubali kiaina kulikuaga na mzuka kweli., ..😉🤣🤣🤣
yah jamaa anajua kujibu maswali maana uwa wanamuuliza maswali ya kidwanzi anawajibu kiakiliJamaa legendary sana, na anajielewa sana. Wadau wanaendaga kumfanyia interview na maswali ya kipuuzi fulani, lakini jamaa anawajibu kwa majibu ya kipuuzi lakini ya kufikirisha sana.
Jamaa hata kama alipotea na madawa, lakini namwona bado ana akili mingi sana.
Kabisa mkuu, kipindi hiko yeye akiwa super star na mimi kapuku na Leo mimi ni super star on my on way na yeye atajua mwenyewe.Maisha yanaenda kasi sana.
hapo kwenye kubali kiaina kulikuaga na mzuka kweli., ..😉![]()

Dah ina beat moja matataKuna ngoma moja aliifanya nadhani mwaka 2009 au 2010 kwa pfunk nadhani inaitwa jiachie...ni ngoma naikubali mno nimeitafuta platform nyingi siipati..msaada mwenye nayo