KING KIBBA WEEE.. C KWA KIMOMBO HICHO

KING KIBBA WEEE.. C KWA KIMOMBO HICHO

Sio kubadili mada.

1. Sijaona sehemu ulipoeleza makosa ya kisarufi yanayoeleza parts of speech. Unajua "parts of speech" ni nini?

2. Sijasikia kosa la kimantiki katika Kiingereza

3.Umejikita katika accent, Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-Moon alikuwa na heavy Korean accent, lakini alifanya kazi yake kama Katibu Mkuu wa UN. Waingereza wenyewe wana accents zao, siku moja nilikuwa nasikiliza muziki wa "Aarctic Monkeys" nikawa nafuatilia lyrics zao. Kuna watu wa Uingereza kusini wanawaponda hawa wanamuziki wa kaskazini accents zao za Kiingereza hazieleweki.

Unaelewa kwamba hata Waingereza wenyewe wana accents tofauti?

5. Kikwete huyo hapo anasema "This is the house I grew up".Wwhat he wanted to say "This is the house I grew up in" That is ungrammatical and illogical. Una a similar issue with Ali Kiba?

6. Video yenyewe ina very bad audio quality, unam judge vipi mtu accent yake kwenye video yenye bad audio quality?

7. Ali Kiba is an artist, not an intellectual. Have you listened to Ai Wei Wei? Do you even know who is Ai Wei Wei? Dalai Lama?John Magufuli?
acha longo
hapo nimemponda au nimempongeza?
 
Msikilizeni Kikwete anasema "this is the house I grew up".

Huyu jamaa kasoma, katembea nchi kibao, kawa Waziri wa Mambo ya Nje, kawa rais miaka 10, na bado anatembea nje mpaka kesho.

Hajui tofauti ya "this is the house I grew up in" na "this is the house I grew up"

Nipe grammatical error kama hiyo kwa Kiba nitakusikiliza, mambo ya accent hata Waingereza wenyewe wanazo.

Yupo sahihi kuongea hivyo hayupo kwenye mkutano wa kiofisi....ww pia uko sahihi km angekua yupo kiofisi ndio angepaswa kuongea formally km ulivyoandika
 
Yupo sahihi kuongea hivyo hayupo kwenye mkutano wa kiofisi....ww pia uko sahihi km angekua yupo kiofisi ndio angepaswa kuongea formally km ulivyoandika
Kuongea Kiingereza kinachofuatisha sarufi mwisho ni kwenye mkutano wa ofisi?

Unajua ukisema "This is the house I grew up" kwa watu wanaofuatilia kiingereza bila kujua kwamba Tanzania mnajinyeanyea kwenye Kiingereza utawachanganya washindwe kujua una maanisha hii ni nyumba uliyoijenga au hii ni nyumba uliyokuliamo?

Unajua Kikwete ni public figure na saa yoyote ambayo yuko mbele ya camera yupo ofisini?
 
Msikilizeni Kikwete anasema "this is the house I grew up".

Huyu jamaa kasoma, katembea nchi kibao, kawa Waziri wa Mambo ya Nje, kawa rais miaka 10, na bado anatembea nje mpaka kesho.

Hajui tofauti ya "this is the house I grew up in" na "this is the house I grew up"

Nipe grammatical error kama hiyo kwa Kiba nitakusikiliza, mambo ya accent hata Waingereza wenyewe wanazo.

 
mpaka cku tukijua lugha c kipimo cha uwezo wa mtu , ndipo tutakapofunua ukurasa mpya ya kujitambua .
 
Nimegundua kula wali na maharage kabla ya kulala ni tatizo nimeamka njaa inauma vibaya mno halafu majalala so siwezi kupoteza mb ni bora nifuatilie komenti
 
Back
Top Bottom