sunday jr
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 365
- 332
Mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini Marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani ameshawahi kuzunguka nchi mbali mbali duniani kufanya show.