Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 893
- 1,924
Moja ya Wafalme waliochukua Maeneo Mengi sana Kule Bara la ASIA.
King Genghis Khan the Great kutoka Mongolia dynasty na muanzilishi wa dynasty hiyo ambaye alikusanya Jamii ndogondogo zikawa chini yake na alitengeneza Jeshi Imara ambalo lilizikonka eneo kubwa la bara hilo la ASIA pia yasemekana alikonka eneo kubwa kuliko Legendary wa Macedonia (Alexander the Great, Mongol dynast ilifika Mpaka Centre Asia , China Urusi Korea. Hivyo mwaka 1206 August akaitawala Great Mongol dynasty mpaka 1227 alikuwa mkali wa vita.
King Gwanggaeto the Great mfalme wa 19 wa Gogryeo ambaye aliyerejesha Heshima kwenye Dynasty ya Gogryeo iliyokuwa imetoweka toka mwanzo mwa karne ya 7 B.C . Gwanggaeto the Great alitawala mnamo mwaka 391 maka 413 aliweza kuzitwanga na kufanikiwa kuziunganisha Falme 3( Gogryeo,Baekje na Silla] ikawa Nchi moja . wakati wa utawala wake aliweza kuwatanga Wajapan, China,Mongolia . hata hivy Gogryeo ilikuwa Imara sana na iliogopeka sana kule Asia ilikuwa na eneo kubwa lililofika Urusi ,China na Mongolia Korea Kusini. Hiyo kutokana na Umahiri wake wa kuzikonka Falme na Chiefdom nyingi ilimfanya kuwa Emperor wa kwanza wa Gogryeo . yote aliyafanya ilikuleta amani katika zile falme 3 zilizokuwa na uhasama mkubwa pia alikuwa mwanadiplomasia.
Fikiria hawa wakali hawa Wangekuwa Wote kwenye Nyakati sawa za Utawala wao Hakika huko Asia pasingelitosha kabisa.