Mopao Josee JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 280 Reaction score 1 Nov 24, 2009 #101 Hatuna wanamuziki tuna genge la waropokaji except AY,FA na PROF.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Nov 24, 2009 #102 George_Porjie said: duh, sauti mbaya mkuu!, utakuaje mwanamziki na sauti lina kigugumizi, sauiti linakwaruza kama la Gamba bana, aaarrrghh. Click to expand... GP wajua kila mtu ana uzuri wake kama wewe unaona sauti yake feki mie ilikuwa inavutia hahahaha .. i like it
George_Porjie said: duh, sauti mbaya mkuu!, utakuaje mwanamziki na sauti lina kigugumizi, sauiti linakwaruza kama la Gamba bana, aaarrrghh. Click to expand... GP wajua kila mtu ana uzuri wake kama wewe unaona sauti yake feki mie ilikuwa inavutia hahahaha .. i like it
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 162 Nov 24, 2009 #103 FirstLady1 said: GP wajua kila mtu ana uzuri wake kama wewe unaona sauti yake feki mie ilikuwa inavutia hahahaha .. i like it Click to expand... hahaaaa, ile sauti alikua anamuiga noniliiii huyu wa usa usibishe!. sasa yukwapi?. mistari yake haina vina wali mizani, hebu sikia hapa, Hii Leo: .....eyoo nikisema one enyi machizi semeni two, nikisema three enyi machizi semeni O, sasa mistari gani hii??, MACHIZI ndio nini??. alisema 'tmk rapstyle sasa kwisha', thubutuuuuuuuuuu
FirstLady1 said: GP wajua kila mtu ana uzuri wake kama wewe unaona sauti yake feki mie ilikuwa inavutia hahahaha .. i like it Click to expand... hahaaaa, ile sauti alikua anamuiga noniliiii huyu wa usa usibishe!. sasa yukwapi?. mistari yake haina vina wali mizani, hebu sikia hapa, Hii Leo: .....eyoo nikisema one enyi machizi semeni two, nikisema three enyi machizi semeni O, sasa mistari gani hii??, MACHIZI ndio nini??. alisema 'tmk rapstyle sasa kwisha', thubutuuuuuuuuuu
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,250 Reaction score 13,541 Jan 30, 2021 #104 Crazy GK anafanya shughuli gani kwa sasa