NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Habari wakuu?ninauza bidhaa tajwa hapo.Iko katika hali bora kabisa.Nauza shilingi 50,000.Bidhaa hii dukani inauzwa 75,000 ni kile cha antena.Sababu ya kuuza ni kuwa kwa sasa ving`amuzi lazima ulipie.hata local chanels.Sasa familiya inapenda zaidi azam kwa ajili ya entertainment ninashindwa kuvihudumia vyote.