'Kinda' Wa Lazio Adaiwa Kuwa Na Miaka 41

'Kinda' Wa Lazio Adaiwa Kuwa Na Miaka 41

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Italian club Lazio have released official documents to prove that 17-year-old midfielder Joseph Minala is not actually 41. Minala caused a stir this week because of his appearance after being one of the youngest players in recent years to be promoted to the Lazio first-team.

He was subject of abuse on social media, with many claiming he was an age cheat, who is in fact much older than 17. Minala's agent has rubbished the claims, but quotes have emerged in the Senegal press suggesting that the player has admitted that he is 41 – and will turn 42 in August.

They claim that the starlet confessed to a reporter that he has been lying in order to earn money to send back to his family in Cameroon.

However, Lazio have now moved to end the age speculation by publishing his official documents on their website, with the club insisting that his registration proves that he is 17.

‘Lazio, referring to press reports relating to the age of player Joseph Minala, confirms the absolute legitimacy of the documentation filed with the federal authorities,' they said in a statement.

Source: metro.co.uk


Huyu ndiye Joseph Minala, ambaye ana umri wa miaka 17 tu.

Minalahwoghowghwohgowgh.jpg
 
Du, kwa hiyo 17 atakuwa labda kazaliwa mara ya pili!!
 
ImageUploadedByJamiiForums1392293558.871034.jpgImageUploadedByJamiiForums1392293576.462789.jpgImageUploadedByJamiiForums1392293598.652384.jpgImageUploadedByJamiiForums1392293620.096309.jpg

Hicho kinjemba kinafahamika kwa jina la Joseph Marie Minala, mchezaji wa team ya vijana ya Lazio huko Roma Italy. Jamaa anasema umri wake ni miaka 17, na cheti cha kuzaliwa kinathibitisha hivyo.

Lakini kumeibuka utata wa umri wake baada ya chombo kimoja cha habari nchini Senagal kusema kilifanya mahojiano na kinjemba kabla hakijaenda Ulaya na jamaa alisema ana miaka 41

Kutoka na habari hizo club yake imebidi kuingilia kati na kutishia kuwachukulia hatua wale wote wanaomtangazia mbaya mchezaji wao.

Wanasema "a picture paints a thousand words", ukimuangalia tu huyo njema unapata mashaka na huo umri wake.
 
Kwa muonekano huo mbona anaonekana kama kama yake Samuel Eto?
 
yaani huyu
Minalahwoghowghwohgowgh.jpg


ni mdogo kwa huyu
2Q==
2Q==
ADNAN JANUZAJ!!

2Q==


2Q==
mwacheni jamani Njemba Njemba imekuwa sana Ndizi za Bukoba na Mihogo ya Kisarawe! mwenyezimungu na yeye ndio wanajua ukweli! Ukimuweka na Raheem sterling! Ataonekana Baba yake Huyu akikaa na Adinan ataonekana ana lea Wenger atanunuwa Huyu si 17? Rubaman,Dondonald,Belo mnaonaje jamaa? Anaonewa au?
 
mwacheni jamani Njemba Njemba imekuwa sana Ndizi za Bukoba na Mihogo ya Kisarawe! mwenyezimungu na yeye ndio wanajua ukweli! Ukimuweka na Raheem sterling! Ataonekana Baba yake Huyu akikaa na Adinan ataonekana ana lea Wenger atanunuwa Huyu si 17? Rubaman,Dondonald,Belo mnaonaje jamaa? Anaonewa au?

huyu nimemzidi zaidi ya miaka 10 lakini naonekana kijana kuliko yeye hahahahahahahah......
 
hii njemba imekula sana salt

haiwezekani kabisa kuwa 17... sasa akifika 40 itakuaje
 
ngassa kweli alichelewa fikra za kwenda Italy au alisubiri wahindi ndio wampe mawazo? Au kaogopa magazeti ya bongo hajapanda ndege wangeshafikisha barua Italy Ngassa sio 18! Ukweli mwingi nao utakosa kazi.
 
Kwa habari nilizonazo jamaa huwa anazonewa sana uwanjani kutokana na hii inshu ya umri sema jamaa anakomaa ingekuwa wabongo ungeskia arisharudi nyumbani ukumuuliza atakwambia mi cwez kucheza sehemu ambayo nazomewa wachezaj wa Africa magharibi akishachungulia mafanikio ni mungu tu ndyo atakayeweza kumrudisha nyuma cup binadam
 
Kimuonekano huyo ana tofauti gani na Essien au Muntari?

Lakini hawa jamaa si ndio wataalamu wa vipimo kama vipi wampime tuu!
 
Pazi, hii njemba kwa muonekano haina miaka 17 na inawezekana haijafika 41. Kwa muonekano wangu atakuwa kati ya 22-26. Kama kweli ana miaka 17 basi atakuwa na extremely fast aging disease (progeria) kama yule aliyekufa juzi juzi Marekani akiwa na miaka 17 lakini ana sura ya miaka 60+. Jamaa atakuwa na wakati mgumu kuwa convince wazungu kuwa ana miaka 17 sababu kuna wengine wanadai Etoo ana zaidi ya miaka aliyonayo wakati alipocheza world cup 1994 alikuwa na miaka 16 sijui 17 na hakuna aliyepiga kelele kipindi kile leo wanadai anadanganya. Ukitoka Africa ukiwa na sura ngumu na umri mdogo watakusakama hasa katika michezo.
 
Waafrika kwa kudanganya umri ndio wennyewe. Kuna kipa maarufu Tanzania ambaye anadai ana miaka 25, lakini jamaa alianza kucheza Ligi Kuu mwaka 2001. Kwa hiyo kwa hesabu za haraka haraka alisajiliwa na klabu moja kubwa akiwa na miaka 12. Huu ni mwaka wa tano au wa sita sasa umri wa kipa huyu hausogei na umekwama kwenye miaka 25.
 
Back
Top Bottom