Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
duuuh huyu Lizabon ni nani?
huwa ana data nyeti saana.. ni Nape, ni Shigella, ni J.Makamba? ni mwigulu, ni au ni LUSINDE ?

kubwa ya yote ni ile aliyotaja siku halis ya dr. slaa kukinukisha.


Kama ni ridhiwani flani maandishi
 
b22de1982d0267b2e4f0a3304bc7bd87.jpg


Pesa za kampeni alizozipiga, ngoja JPM awe Mwenyekiti atazichojoa tu
Lazima. JPM hataki masihara hata kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom