Kinana yupo wapi na ni nani msemaji wa CCM?

Kinana yupo wapi na ni nani msemaji wa CCM?

Tangu kutangazwa kwa baraza la mawaziri na kurudishwa na mawaziri mizigo,sijamsikia tena Comrade Kinana,mwanamikakati huyu amekubwa na dhahama gani?namsikia Bulembo tu,he is doing like Secretary.Watu wanahoji labda ameamua kujinyamazia anajua Magufuli hawezi kutoboa.Sijui,labda mikwara ya Magufuli ilimtia kinyaa akaamua kupiga bunda.Au labda wamezinguana na mwenyekiti baada ya Ba Mdogo kupigwa chini.Wengine wasema yupo busy anakusanya risiti za retirement za masurufu ya uchaguzi maana hii mikwara ya Mkuu wa nchi
Au kaenda kufuatilia ile meli yake iliyokamatwa na vipusa
 
Baada ya kusikia Maghembe ambaye alisema ni waziri mzigo kawa wa Maliasili ndipo akatambua Magu sio mtu mzuri na anampango wa kummaliza kisayansi kwa kumpa mbaya wake wizara hiyo.
Ni sawa na kumpa urefa mechi ya Fainali Yanga na Maji maji Zakaria Hans Pope au Haji Manara
 
Kinana na fayza foxy naona wamesusa kabisa shughuli za lumumba au inawezekana wanaandaa mkakati wa kutaka jk awanie tena uprezidaa 2020
 
Abdulrahman Kinana (AK47), silaha kali baada ya kuwaangamiza wapinzani, imesafishwa na kurudishwa ghalani.
 
.....alitumbuliwa kwenye kampuni zake 2....ile sixtel na WiA kote wamekomba zaidi ya 7bil z kodi ambazo alitakiwa kulipa kwa miaka kadha nyuma! Wamekomaa hadi amelipa na kesi ya uhujumu uchumi juu! Hapo bado hizo za ujangiri! Unategemea nini? Lazima arudi nyuma ajipange upya!!
 
Back
Top Bottom