Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Kinana ni bonge la kiongozi slaa akimsikia hutamani kujificha kabisa kila anakopita neema na msikamano vinarejea.
Sana tu mkuu. Yeye anasimamia misingi ya haki ndani ya chama. Huwezi kumlinganisha na mzinifu Slaa wa upande wa piliKinana ni bonge la kiongozi slaa akimsikia hutamani kujificha kabisa kila anakopita neema na msikamano vinarejea.
Mkuu, CCM inaaminika mpaka kwa waliomo CHADEMA. Ndo maana huwezi kushangaa kuona mtu kama dr Slaa anaendelea kuwa na kadi ya CCMCCM ya Nyerere ilijali wakulima na wafanyakazi - Nyerere alikuwa msafi na ndiyo maana watanzania walimwamini sana - ni nani leo wa kuaminika ndani ya CCM?
CCM ya Nyerere ilijali wakulima na wafanyakazi - Nyerere alikuwa msafi na ndiyo maana watanzania walimwamini sana - ni nani leo wa kuaminika ndani ya CCM?
Ccm ya kinana inawasumbua sana lazima mtaijua tu hata mkifanya vipi lazima awazamishe tu.
Wakamzushia na kashfa ya ujangili wakidhani wangemdhoofisha. Kinana bonge la jabali.Kinana ni kiboko ya CHADEMA
ccm itaongoza tanzania milele na milele. fahamuni hilo
unapigwa ngeta wewe hujitambui!
CCM ni moja tu. Hakuna CCM ya kinana wala ya Nyerere. ila kule CHADEMA ndo kuna CHADEMA CHUMBANI na CHADEMA SEBULENI
Kwa kuwa mungu ni shangazi yako.
kaka nimetafuta jibu la kukupa linalokufaa nimelikosa!! sitaki kukuharibia siku yako.Mimi na wewe tunapaswa kuimini CCM, sijaona chama chochote ambacho kinaweza kuipiku CCM tena hasa ukizingatia kuwa vyama ambavyovilionekana kuwa na nguvu zimekosa mweleko kabisa.
Wewe unajitambua kweli? Subirini ZITTO atakapoanza kuwa vua nguo.
upo team ipi??? ya lowassa,membe,sitta,makamba,sumaye au mzee wa gombe????
ulivyo na njaa lazima utakuwa kwenye marichmonduli tu!
Wakamzushia na kashfa ya ujangili wakidhani wangemdhoofisha. Kinana bonge la jabali.
siongei na kidagaa mie! mtu tuliyemzika hapo furahisha ana jipya gani!!!!
cdm ni noumaaaaaaaasa
ni mwehu tu kama wewe anayeweza kulisifu jangili kwa kumaliza tembo wetu!!!!