siongei na kidagaa mie! mtu tuliyemzika hapo furahisha ana jipya gani!!!!
cdm ni noumaaaaaaaasa
Mipasho! Kavae skirt.
siongei na kidagaa mie! mtu tuliyemzika hapo furahisha ana jipya gani!!!!
cdm ni noumaaaaaaaasa
kaka nimetafuta jibu la kukupa linalokufaa nimelikosa!! sitaki kukuharibia siku yako.
CCM ni moja wewe na utajionea 2015, usitake kutuletea ya MBOWE na SLAA vs ZITTO, hayo ni huko Mtaa wa Ufipa.
Nani kakwambia mimi Kaka yako? kwa sababu umekubali hoja zangu, niite baba kabisa.
Mipasho! Kavae skirt.
Mipasho! Kavae skirt.
Sana tu mkuu. Yeye anasimamia misingi ya haki ndani ya chama. Huwezi kumlinganisha na mzinifu Slaa wa upande wa pili