Kinana na timu yake waanza ziara ya Mkoa wa Manyara, wahutubia maelfu ya wananchi Katesh, Hanang

Hapo ni haki akina Tambwe Hizza walalamike. Naona Nepi na mzee Wa tembo wameamua kupiga hela, hii mizunguko ya Tanzania nzima si watajenga maghorofa wakati wenzao wanapiga miayo tu? Kwa nini wasingeigawa nchi kwa makundi ili na wengine waende upande mwingine? Sasa hivi ni wale wale tu, wakiamua kwenda na akina Shonza na Stella Mwampamba labda wanaenda kuwavua nyupi. kazi kweli kweli!

Walioenda n msimamizi wa shughul za chama na mwenezi kama unaviongoz wako wengn waambie waende
 
Uchafu mtupu! Dawa ya muuaji wa tembo ni hii hapa:

bees.jpg

Kinana hana jipya kwani ni mmoja wa viongozi ambao kama kungekuwa na katiba bora angeshakamatwa na kushitakiwa kwa kuwa meli anayoimiliki ilikamatwa baharini ikiwa na nyara za taifa zenye thamani ya sh bilioni 5 ikielekea Hong Kong, lakini hadi leo hajachukuliwa hatua yoyote.

"Ndugu zangu mfumo wa serikali tatu unazuia ufisadi wa rasiimali za wananchi zisiibwe na kuchezewa na mafisadi, na ndiyo maana CCM na Kinana wanazunguka nchi nzima wakihubiri serikali mbili ili waendelee kupata mianya ya kuiba tembo na madini yetu bila kuchukuliwa hatua," nawasilisha.
 
Aibu yao maccm kwenye serikali za mitaa na 2015

Lililo wazi ni kuwa ubunge wa Nagu ndiyo unayoyoma..........ona wasivyosogeleana na Sumaye katika hayo 'malaki' ya Kinana/Nape. Isitoshe, ubunge wa Jeetuson Patel Babati vijijini nao kwaheri...........sijui yule mkurya mbunge wa Babati mjini kama atauona tena.
 
CCM baada ya kugundua kwamba hwakubaliki tena na hawapati watu kwenye mikutano yao wameona waanzishe hii style ya kukaa kwenye viti ili kuonyesha kwamba wanapata watu wengi kwenye mikutano.kama una akili timamu angalia hizo picha hapo juu uone ukweli ccm is dying.

Wewe bwana mdogo acha uvivu wa kufikiri nani amekwambia kinnana ataboresha huduma za afya? au ndio kusema kwamba kuwamwanaccm lazima uweke akili pembeni na kutumia makalio kufikiri?
CCM haina sera ya kujaza watu kwenye mikutano. Sera ya CCM ni kuwatumikia watu na kuleta mrejesho wa hatua iliyofikia katika kutimiza Ilani ya Uchaguzi.

Karibu kwenye Mkutano ambapo upendo ndiyo nguzo katika mikutano ya CCM.
 
Back
Top Bottom