Kinana na CCM wahusishwa ushindi wa Kenyatta

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Masaa machache baada ya kumalizika kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Kenya wanazi wa siasa za Afrika na Afrika Mashariki CCM chini ya jangili mzoefu( srategist wa jeshi mstaafu) sasa kuna ushahidi wa wazi juu ya kuhusika kwao na uchakachuaji wa kura kumfanya Kenyatta mtoto wao kushinda kwa ushindi mwembamba sana! Matukio yanaanzia mbali toka kwa safari ya Uhuru kuja nchini na kukutana na JK pale magogoni, inasemekana hapo ndipo dili lilipopangwa kwa makubaliano ya kuiachia Tanzania Urais wa Afrika Mashariki muda ukifika.

Kumekuwa na matukio mengi katikati hapa ya vikao kati ya Rutto na maafisa wa CCM kwa muda sasa...kikao cha mwisho kilifanyika Girafe Hotel kati ya Uhuru, Kinana, Nape na maafisa wa usalama wa Taifa wa Tanzania na kupanga wizi wa kura. Ni katika kikao hicho ndipo ilipoamuliwa Kinana atakwenda Kenya. Baada ya dili kuanza kutekelezwa Mwai Kibaki ambaye alikuwa nyuma ya Uhuru kutokana na Makubaliano kati ya familia tatu, KIBAKI, MOI NA KENYATTA akaja Tanzania siku chache kabla ya Uchaguzi wa Kenya kuja kutoa shukrani na kukamilisha utekelezaji wa dili hilo!

Kinana akatua Kenya kwa siku kadhaa kabla ya uchaguzi, alipomaliza tu, kabla matokeo hayajatangazwa akaondoka, dili done! Kurudi Dar wakaondoka na Kikwete kwenda Afrika Kusini kupongezana...na nimeona picha ya JK, Kinana na Nape wakiwa pretoria Afrika kusini na kina Zuma na Mugabe!

Nyuma ya pazia inasemakana EL na RA na timu yao waliamua kuungana na CDM kumsaidia Raila Odinga huku wakiungwa mkono kwa nguvu na nchi za Magharibi wakiongzwa na Marekani na Uingereza. Huku UK ikishawishia sana na CDM kwani serikali iliyoko madarakani kwasasa UK iko in good terms na CDM ndo maana mkulu toka ichaguliwe hajaenda kabisa UK....

My take
Kuna nini nyuma ya pazia la uhujumu huu uliofanywa na CCM dhidi ya chaguo la wakenya Raila Omolo Odinga?!!!!
 
nani kawahusisha sasa sijelewa kabisa
 
Mungu nijaalie umri niyaone matokeo na hatimae mwisho wa yote.
 
Hapo zamani za kale palitokea mtunzi mzuri wa hekaya ambapo wasomaji walikongwa nyoyo zao na kuamini ni Ukweli mtupu!!!!!
 
Masaa machache baada ya kumalizika kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Kenya wanazi wa siasa za Afrika na Afrika Mashariki CCM chini ya jangili mzoefu( srategist wa jeshi mstaafu) sasa kuna ushahidi wa wazi juu ya kuhusika kwao na uchakachuaji wa kura kumfanya Kenyatta mtoto wao kushinda kwa ushindi mwembamba sana! Matukio yanaanzia mbali toka kwa safari ya Uhuru kuja nchini na kukutana na JK pale magogoni, inasemekana hapo ndipo dili lilipopangwa kwa makubaliano ya kuiachia Tanzania Urais wa Afrika Mashariki muda ukifika.

Kumekuwa na matukio mengi katikati hapa ya vikao kati ya Rutto na maafisa wa CCM kwa muda sasa...kikao cha mwisho kilifanyika Girafe Hotel kati ya Uhuru, Kinana, Nape na maafisa wa usalama wa Taifa wa Tanzania na kupanga wizi wa kura. Ni katika kikao hicho ndipo ilipoamuliwa Kinana atakwenda Kenya. Baada ya dili kuanza kutekelezwa Mwai Kibaki ambaye alikuwa nyuma ya Uhuru kutokana na Makubaliano kati ya familia tatu, KIBAKI, MOI NA KENYATTA akaja Tanzania siku chache kabla ya Uchaguzi wa Kenya kuja kutoa shukrani na kukamilisha utekelezaji wa dili hilo!

Kinana akatua Kenya kwa siku kadhaa kabla ya uchaguzi, alipomaliza tu, kabla matokeo hayajatangazwa akaondoka, dili done! Kurudi Dar wakaondoka na Kikwete kwenda Afrika Kusini kupongezana...na nimeona picha ya JK, Kinana na Nape wakiwa pretoria Afrika kusini na kina Zuma na Mugabe!

Nyuma ya pazia inasemakana EL na RA na timu yao waliamua kuungana na CDM kumsaidia Raila Odinga huku wakiungwa mkono kwa nguvu na nchi za Magharibi wakiongzwa na Marekani na Uingereza. Huku UK ikishawishia sana na CDM kwani serikali iliyoko madarakani kwasasa UK iko in good terms na CDM ndo maana mkulu toka ichaguliwe hajaenda kabisa UK....

My take
Kuna nini nyuma ya pazia la uhujumu huu uliofanywa na CCM dhidi ya chaguo la wakenya Raila Omolo Odinga?!!!!

upuuzi mtupu. Huna tofauti na standard seven.
 
Hujagusia lolote kuhusu Raila kumtembelea Kikwete magogoni siku chache kabla ya uchaguzi, lazima pia kuna uhusiano na ushindi kwa Kenyatta
 
Duh!

Kweli kuna watu wenye vipaji vya kutunga uongo kuwa ukweli!!!!!
 
Akili zenu zinafanana na za Magufuli aliyesema Raila akigombea ubunge Chato atamwachia, sasa amwachie ili awe Kama Wenje mbunge mwingine mkenya. Ninyi Chadema mna kiherehere sana mmemuharibia Raila kura zake kwa kujiingiza huko wazwazi na mikweche yenu ya m4c ( movement for shenzi ) kushinda kwa Kenyatta ni reaction ya wakenya kupinga kuingiliwa mambo Yao ya ndani.
 
Wakenya wana akili zao wanajua jema na baya! Hawafanyii kazi uzushi wa ICC Aibu kwa akina Magufuli walioenda msapoti Odinga
 
Mawazo ya kishirikina haya eti watu wanakaa na kufukizia ubani huku wakitamka maneno fulani mara mambo yanatokea. Hii ni kiwango cha chini kabisa cha kufikiri!
 
Ngoja nikae pembeni niendelee kushudia huu mpambano.
 
Hahaha Chadema wachezea kichapo cha mbwa mwizi watoroka na magari yao usiku kutoka Kenya....subirini cha 2015 hiki cha Kenya kilikuwa rasharasha!
 
... walau umepata kujua japo robo tu juu ya nini kilichojiri toka Magogoni kuhusiana na uchaguzi wa Kenya.
 
Hichi kiwanda chako kipo sehemu gani mkuu? Ukitoa product kama 4 za aina hii, lazima uwe tajiri!
 
Back
Top Bottom