Kinana Mzee wa Futuhi!

Kinana Mzee wa Futuhi!

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
ameamua kufata ushauri wa Mh Lema kujiunga na Futuhi!
11091327_788829454533489_8548628899898435554_n.jpg
 
Kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa maana naona niko gizani. Futuhi ni nini?
 
Kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa maana naona niko gizani. Futuhi ni nini?

Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho
 
Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho

Shukrani mkuu! Nimekupata vizuri nilikuwa nang'aa macho na kupasua kichwa bila kupata jibu!
 
Jamaa anajichosha tu, kila alikopita kaacha matatizo tu bora futuhi inaburudisha, mi naona kaamua kufanya mazoezi tu huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom