Kinana: Marufuku Form za uchaguzi kwa ngazi zote kuuzwa

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama.

Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.
kinana.jpg
 
mbona kuna mtu alinunua mpaka milioni kuomba ridhaa ya chama? watamrudishia?
 
ndiyo lakini ilikua ya kupalilia kwa mwalimu
Ndio maana umeshindwa kutofautisha kati ya fomu ya kugombea nafasi ya uongozi wa ndani ya ccm,na fomu ya kugombea Urais,ubunge na udiwani kupitia tiketi ya ccm
 
kama hili ni kweli ccm itakuwa imepiga hatua.maana kugombea ubunge usipokuwa na laki imekula kwako. pia urais bila milioni hupati fomu.ngoja tusubiri tutaona.
 
Barua imeandikwa na naibu, kichwa cha habari unasema Kinana. Mwandishi mbona sikuelewi!! Ninavyojua Kinana kaaamua kuwaachia maiti yenu iwanukie peke yenu!!
 
kama hili ni kweli ccm itakuwa imepiga hatua.maana kugombea ubunge usipokuwa na laki imekula kwako. pia urais bila milioni hupati fomu.ngoja tusubiri tutaona.
kwani hayo hanahusu tume ya uchaguzi au nafasi zq ccm? kinana hana mamlaka ya kuingilia tume ya uchaguzi ambayo inaendesha uchaguzi wa madiwan..ubunge na urais
 
Ndio maana umeshindwa kutofautisha kati ya fomu ya kugombea nafasi ya uongozi wa ndani ya ccm,na fomu ya kugombea Urais,ubunge na udiwani kupitia tiketi ya ccm
umesoma sana ndiyo maana umeshindwa kunielewa pia ilihitaji elimu ya msingi tu kunielewa
 
Back
Top Bottom