The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,710
Katika kipindi cha JENERAL ON MONDEY LEO MGENI NI KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABRAHAMAN KINANA NAWASILISHA
katika kipindi cha jeneral on mondey leo mgeni ni katibu mkuu wa ccm ndugu abrahaman kinana nawasilisha.....
Mkuu umemsikiliza hata alichosema?Wape dozi nene kinana,wataelewa tu
Mkuu mbona kinana anakuja Arusha kwa ziara ya ''kiserikali'' kuja kufufua viwanda vilivyokufa!!Kinana tunakusubiri huku arusha upokee kadi za wapinzani upokee wanachama na kutoa rasmi jeneza la wapinzani
Msiba tena?Mangula,kinana,nape, mwigulu nchemba madelu lameck hawa ndio washambuliaji watakaopeleka msiba kaskazini kutokea pale kinondoni manyanya mtaa wa manhattan
Kuhusu meli zake na meno ya tembo anjibuje?
Mie nahisi kichefuchefu kumsikiliza fisadi tena lile la alshabab