Mdundulizaji
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 194
- 24
Hapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!
hata hasipokuwa kinana, huu ndio mwisho wa tigo/shoga
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Hapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!
Ndugu zangu ndani JF, kwa Arusha Kinana hawezi kushinda kabisa labda aibe sana na CCM wote whamaie AR! AR sio tabora ao morogoro jamani muelewe hilo kwani ina watu waelewa sana na wajanja!
Halafu akishinda atakuwa waziri wa wizara mpya ya maliasili, utalii na wanyama
Tuna imani na kinana
mkuu acha kudanganya watu arusha hakuna mwelewa yoyote pengine unazungumzia ujambazi kwahilo la wizi hamjambo.
Nyie mnataka kumpa presha lema ashindwe hata kula chakula.
Hata akitaka agombee Urais kabisa.Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Nyie mnataka kumpa presha lema ashindwe hata kula chakula.